TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Philip Emeagwali

The Typologically Different Question Answering Dataset

Philip Emeagwali  (amezaliwa 23 Agosti 1954) ni mhandisi ,Igbo kutoka Nigeria na mwanasayansi wa kompyuta/ Mwanajiolojia ambaye alikuwa mmoja wa washindi wawili wa Tuzo la mwaka wa 1989 la Gordon Bell, zawadi kutoka IEEE, kwa matumizi yake ya kompyuta yenye nguvu zaidi - mashine ilitokuwa na visindukaji 65000 - iliyosaidia katika uchambuzi maeneo ya petroli .

Philip Emeagwali alishinda tuzo gani?

  • Ground Truth Answers: Gordon Bell

  • Prediction:

Emeagwali alipokea $ 1.000 [2] mwaka wa 1989 katika tuzo la Gordon Bell Nobel, kwa kuzingatia maombi ya CM-2 kompyuta ya kuhifadhi mafuta . Alishinda katika Kigezo cha "bei / utendaji" , kwa takwimu ya utendaji ya400 Mflops / $ 1m iliyokuwa sabamba na utendaji wa Gflops 3.1 . (kiingizi kilichoshinda katika kigezo cha "utendaji kilele " mwaka huo, pia kwa ajili ya usindikaji wa ujumbe ulio na uhusiano wa mafuta katika CM-2 - iliyofanikiwa na Gflops 6 , au 500 Mflops / $ 1m, lakini majaji waliamua kutopatiana tuzo zote mbili kwa timu moja .) [3] Huu mfumo ulikuwa programu ya kwanza kutumia mbinu ya pseudo-time katika mtindo wa kuhifadhi.[4]

Philip Emeagwali alishinda tuzo gani?

  • Ground Truth Answers: Gordon Bell NobelGordon Bell Nobel

  • Prediction: